Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

110 An-Naşr ٱلنَّصْر

< Previous   3 Āyah   The Divine Support      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

110:1 إِذَا جَآءَ نَصْرُ ٱللَّهِ وَٱلْفَتْحُ
110:1 Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

110:2 وَرَأَيْتَ ٱلنَّاسَ يَدْخُلُونَ فِى دِينِ ٱللَّهِ أَفْوَاجًا
110:2 Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

110:3 فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَٱسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابًۢا
110:3 Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)