Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

113 Al-Falaq ٱلْفَلَق

< Previous   5 Āyah   The Daybreak      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

113:1 قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلْفَلَقِ
113:1 Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

113:2 مِن شَرِّ مَا خَلَقَ
113:2 Na shari ya alivyo viumba, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

113:3 وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ
113:3 Na shari ya giza la usiku liingiapo, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

113:4 وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّـٰثَـٰتِ فِى ٱلْعُقَدِ
113:4 Na shari ya wanao pulizia mafundoni, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

113:5 وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ
113:5 Na shari ya hasidi anapo husudu. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)