Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

1 Al-Fātiĥah ٱلْفَاتِحَة

7 Āyah   The Opener      Next >  

1:1 بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1:1 KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

1:2 ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلْعَـٰلَمِينَ
1:2 Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

1:3 ٱلرَّحْمَـٰنِ ٱلرَّحِيمِ
1:3 Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

1:4 مَـٰلِكِ يَوْمِ ٱلدِّينِ
1:4 Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

1:5 إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
1:5 Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

1:6 ٱهْدِنَا ٱلصِّرَٰطَ ٱلْمُسْتَقِيمَ
1:6 Tuongoe njia iliyo nyooka, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

1:7 صِرَٰطَ ٱلَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ ٱلْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا ٱلضَّآلِّينَ
1:7 Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)