Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

111 Al-Masad ٱلْمَسَد

< Previous   5 Āyah   The Palm Fiber, Flame      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

111:1 تَبَّتْ يَدَآ أَبِى لَهَبٍ وَتَبَّ
111:1 Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

111:2 مَآ أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُۥ وَمَا كَسَبَ
111:2 Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

111:3 سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ
111:3 Atauingia Moto wenye mwako. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

111:4 وَٱمْرَأَتُهُۥ حَمَّالَةَ ٱلْحَطَبِ
111:4 Na mkewe, mchukuzi wa kuni, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

111:5 فِى جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍۭ
111:5 Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)