Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

95 At-Tīn ٱلتِّين

< Previous   8 Āyah   The Fig      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

95:1 وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيْتُونِ
95:1 Naapa kwa tini na zaituni! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

95:2 وَطُورِ سِينِينَ
95:2 Na kwa Mlima wa Sinai! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

95:3 وَهَـٰذَا ٱلْبَلَدِ ٱلْأَمِينِ
95:3 Na kwa mji huu wenye amani! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

95:4 لَقَدْ خَلَقْنَا ٱلْإِنسَـٰنَ فِىٓ أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ
95:4 Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

95:5 ثُمَّ رَدَدْنَـٰهُ أَسْفَلَ سَـٰفِلِينَ
95:5 Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

95:6 إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّـٰلِحَـٰتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ
95:6 Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

95:7 فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِٱلدِّينِ
95:7 Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

95:8 أَلَيْسَ ٱللَّهُ بِأَحْكَمِ ٱلْحَـٰكِمِينَ
95:8 Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)