Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

114 An-Nās ٱلنَّاس

< Previous   6 Āyah   The Mankind     

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

114:1 قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ
114:1
Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili) :
Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,

114:2 مَلِكِ ٱلنَّاسِ
114:2
Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili) :
Mfalme wa wanaadamu,

114:3 إِلَـٰهِ ٱلنَّاسِ
114:3
Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili) :
Mungu wa wanaadamu,

114:4 مِن شَرِّ ٱلْوَسْوَاسِ ٱلْخَنَّاسِ
114:4
Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili) :
Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas,

114:5 ٱلَّذِى يُوَسْوِسُ فِى صُدُورِ ٱلنَّاسِ
114:5
Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili) :
Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,

114:6 مِنَ ٱلْجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ
114:6
Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili) :
Kutokana na majini na wanaadamu.