Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

94 Ash-Sharĥ or Al-Inshirah ٱلشَّرْح

< Previous   8 Āyah   The Relief or Solace or Comfort      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

94:1 أَلَمْ نَشْرَحْ لَكَ صَدْرَكَ
94:1 Hatukukunjulia kifua chako? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

94:2 وَوَضَعْنَا عَنكَ وِزْرَكَ
94:2 Na tukakuondolea mzigo wako, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

94:3 ٱلَّذِىٓ أَنقَضَ ظَهْرَكَ
94:3 Ulio vunja mgongo wako? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

94:4 وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ
94:4 Na tukakunyanyulia utajo wako? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

94:5 فَإِنَّ مَعَ ٱلْعُسْرِ يُسْرًا
94:5 Basi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

94:6 إِنَّ مَعَ ٱلْعُسْرِ يُسْرًا
94:6 Hakika pamoja na uzito upo wepesi. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

94:7 فَإِذَا فَرَغْتَ فَٱنصَبْ
94:7 Na ukipata faragha, fanya juhudi. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

94:8 وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَٱرْغَب
94:8 Na Mola wako Mlezi ndio mshughulikie. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)