Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

102 At-Takāthur ٱلتَّكَاثُر

< Previous   8 Āyah   The Rivalry in world increase      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

102:1 أَلْهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُ
102:1 Kumekushughulisheni kutafuta wingi, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

102:2 حَتَّىٰ زُرْتُمُ ٱلْمَقَابِرَ
102:2 Mpaka mje makaburini! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

102:3 كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ
102:3 Sivyo hivyo! Mtakuja jua! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

102:4 ثُمَّ كَلَّا سَوْفَ تَعْلَمُونَ
102:4 Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

102:5 كَلَّا لَوْ تَعْلَمُونَ عِلْمَ ٱلْيَقِينِ
102:5 Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

102:6 لَتَرَوُنَّ ٱلْجَحِيمَ
102:6 Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamu! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

102:7 ثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيْنَ ٱلْيَقِينِ
102:7 Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakini. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

102:8 ثُمَّ لَتُسْـَٔلُنَّ يَوْمَئِذٍ عَنِ ٱلنَّعِيمِ
102:8 Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)