Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

101 Al-Qāri`ah ٱلْقَارِعَة

< Previous   11 Āyah   The Calamity      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

101:1 ٱلْقَارِعَةُ
101:1 Inayo gonga! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:2 مَا ٱلْقَارِعَةُ
101:2 Nini Inayo gonga? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:3 وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلْقَارِعَةُ
101:3 Na nini kitacho kujuilisha nini Inayo gonga? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:4 يَوْمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلْفَرَاشِ ٱلْمَبْثُوثِ
101:4 Siku ambayo watu watakuwa kama nondo walio tawanyika; - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:5 وَتَكُونُ ٱلْجِبَالُ كَٱلْعِهْنِ ٱلْمَنفُوشِ
101:5 Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:6 فَأَمَّا مَن ثَقُلَتْ مَوَٰزِينُهُۥ
101:6 Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:7 فَهُوَ فِى عِيشَةٍ رَّاضِيَةٍ
101:7 Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:8 وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَٰزِينُهُۥ
101:8 Na yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu, - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:9 فَأُمُّهُۥ هَاوِيَةٌ
101:9 Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:10 وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا هِيَهْ
101:10 Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

101:11 نَارٌ حَامِيَةٌۢ
101:11 Ni Moto mkali! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)