Selected

Original Text
Ali Muhsin Al-Barwani

Available Translations

99 Az-Zalzalah ٱلزَّلْرَلَة

< Previous   8 Āyah   The Earthquake      Next >  

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ
In the name of Allah, Most Gracious, Most Merciful.

99:1 إِذَا زُلْزِلَتِ ٱلْأَرْضُ زِلْزَالَهَا
99:1 Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

99:2 وَأَخْرَجَتِ ٱلْأَرْضُ أَثْقَالَهَا
99:2 Na itakapo toa ardhi mizigo yake! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

99:3 وَقَالَ ٱلْإِنسَـٰنُ مَا لَهَا
99:3 Na mtu akasema: Ina nini? - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

99:4 يَوْمَئِذٍ تُحَدِّثُ أَخْبَارَهَا
99:4 Siku hiyo itahadithia khabari zake. - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

99:5 بِأَنَّ رَبَّكَ أَوْحَىٰ لَهَا
99:5 Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

99:6 يَوْمَئِذٍ يَصْدُرُ ٱلنَّاسُ أَشْتَاتًا لِّيُرَوْا۟ أَعْمَـٰلَهُمْ
99:6 Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

99:7 فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُۥ
99:7 Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)

99:8 وَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُۥ
99:8 Na anaye tenda chembe ya uovu atauona! - Ali Muhsin Al-Barwani (Swahili)